Kiwanja Mwanza

Kiwanja Mwanza

ARV

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
5,554
Reaction score
7,993
Natafuta kiwanja cha kujenga mwanza wandugu kwa anayeuza.
 
Mkuu nenda kajaribu maeneo ya Nyegezi, Luchelele na Kiseke nadhani unaweza kupata plots huko.
 
Nashukuru ngoja nicheki maeneo hayo, maana mi ni mgeni hapa mwanza

Mkuu nenda kajaribu maeneo ya Nyegezi, Luchelele na Kiseke nadhani unaweza kupata plots huko.
 
kwa pande za hapa mwanza unatafuta kiwanja,maeneo ya malimbe,luchelele,sweya,kijiweni,nyegezi kona kweli kuna viwanja lakin sikushaur ujenge nyumba ya kuish eneo hilo labda hostel ndo sehemu ambazo wanachuo wanaish kuna usumbufu ambao si walazima ningekushaur at least ukachek maeneo ya kiseke,bwiru,nyamanolo yaan kwa ushaur ni kwamba wilaya ya nyamagana kuna social unrest nying sana angalau ilemela
 
Kama una mil 6.,kuna mtu anakiwanja hivi vilivyotangazwa juzi kapata lakini inaonekana hana hela ya kukilipia ila yeye kakipata kwa 4.875,sasa anataka na cha juu.Ila ni square meters kama 1375.Mie nimechemka.sikumbuki ni maeneo gani ila ukifika pale ofc za jiji wamebandika majina ya hilo eneo.Au ongea na wale walinzi wa jiji wanajua watu walio navyo maana,watu walipewa deadline ya ijumaa last week.
 
Poa kesho ntapita hapo jiji.kuna jamaa kaniambia anacho eneo linaitwa bugarika,anasema vimeshapimwa lakini watu hawajaanza kujenga huko,je nako ni kuzuri?

Kama una mil 6.,kuna mtu anakiwanja hivi vilivyotangazwa juzi kapata lakini inaonekana hana hela ya kukilipia ila yeye kakipata kwa 4.875,sasa anataka na cha juu.Ila ni square meters kama 1375.Mie nimechemka.sikumbuki ni maeneo gani ila ukifika pale ofc za jiji wamebandika majina ya hilo eneo.Au ongea na wale walinzi wa jiji wanajua watu walio navyo maana,watu walipewa deadline ya ijumaa last week.
 
kwa pande za hapa mwanza unatafuta kiwanja,maeneo ya malimbe,luchelele,sweya,kijiweni,nyegezi kona kweli kuna viwanja lakin sikushaur ujenge nyumba ya kuish eneo hilo labda hostel ndo sehemu ambazo wanachuo wanaish kuna usumbufu ambao si walazima ningekushaur at least ukachek maeneo ya kiseke,bwiru,nyamanolo yaan kwa ushaur ni kwamba wilaya ya nyamagana kuna social unrest nying sana angalau ilemela

Wadau wenye viwanja vilivopimwa maeneo hayo tufahamishane hapa!
 
kama una mil 6.,kuna mtu anakiwanja hivi vilivyotangazwa juzi kapata lakini inaonekana hana hela ya kukilipia ila yeye kakipata kwa 4.875,sasa anataka na cha juu.ila ni square meters kama 1375.mie nimechemka.sikumbuki ni maeneo gani ila ukifika pale ofc za jiji wamebandika majina ya hilo eneo.au ongea na wale walinzi wa jiji wanajua watu walio navyo maana,watu walipewa deadline ya ijumaa last week.
ulanguai na rushwa
 
Duh hii tabia ya udalali sijui itakwisha lini, yaani mtu anazuia watu wengine wasipate ili atengeneze pesa kiulaini!
Kama una mil 6.,kuna mtu anakiwanja hivi vilivyotangazwa juzi kapata lakini inaonekana hana hela ya kukilipia ila yeye kakipata kwa 4.875,sasa anataka na cha juu.Ila ni square meters kama 1375.Mie nimechemka.sikumbuki ni maeneo gani ila ukifika pale ofc za jiji wamebandika majina ya hilo eneo.Au ongea na wale walinzi wa jiji wanajua watu walio navyo maana,watu walipewa deadline ya ijumaa last week.
 
ndugu yangu anauza kiwanja maeneo ya Kiloleli jirani na mnada wa Kiloleli. Kimepimwa na kuna kijumba cha kuishi (maarufu kama SLOPE) kwa anayehitaji kiwanja anijulishe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom