Kiwanja Mbezi Shamba

Kiwanja Mbezi Shamba

kyemo

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2010
Posts
570
Reaction score
720
Nauza kiwanja mbezi shamba,20X20,bei Mil 5

Kipo Mbezi Luis kama unaenda njia ya goba unangia ndani kidogo, viwanja vya jirani washaanza kujenga na wengine wanaishi tayari.

Only serious buyer anaweza ni pm
 
Kipo mbezi luis kama unaenda njia ya goba unangia ndani kidogo, viwanja vya jirani washaanza kujenga na wengine wanaishi tayari

Only serious buyer anaweza ni pm
Umeme na Maji??
 
Umeme na Maji??

Umeme kwa kukadiria ni kama nguzo 2/3 ingawa sina utaalamu na masuala hayo,maji unajua mbezi karibia yote ni shida

panaweza mfaa mtu mwenye mpango wa kujenga karibuni, kutokana na ukuaji wa eneo hilo kwa kasi
 
Nauza kiwanja mbezi shamba,20X20,bei Mil 5

Kipo Mbezi Luis kama unaenda njia ya goba unangia ndani kidogo, viwanja vya jirani washaanza kujenga na wengine wanaishi tayari.

Only serious buyer anaweza ni pm

Mbezi sehemu gani? Unapita makabe?
 
Nauza kiwanja mbezi shamba,20X20,bei Mil 5

Kipo Mbezi Luis kama unaenda njia ya goba unangia ndani kidogo, viwanja vya jirani washaanza kujenga na wengine wanaishi tayari.

Only serious buyer anaweza ni pm
Mkuu..hiyo 20x20 nadhani ni meter... hujaweka unit
 
Mbezi luis kubwa mkuu , hebu leta deals za eneo husika
 
Hauelekei makabe, ukiwa kama unaenda goba,unaiacha hiyo njia ya kwenda goba, unaingia ndani(yani njia ya mchepuko)
 
Nauza kiwanja mbezi shamba,20X20,bei Mil 5

Kipo Mbezi Luis kama unaenda njia ya goba unangia ndani kidogo, viwanja vya jirani washaanza kujenga na wengine wanaishi tayari.

Only serious buyer anaweza ni pm

Mil 2 unachukua?
 
Back
Top Bottom