Habari wadau wa jf kunakiwanja kinauzwa mbezi beach upande wa samaki kwa juu kidogo 35×25 kwa iliye serious 0714787795 pia pm namba yako kama utahitaji picha umeme na maji mpaka mlangoni mwenye kiwanja yupo hapo hapo.
Namba za Simu ndio Bei?Jamani ndo maana nimeweka namba za simu mteja anaonekana tu
Habari wadau wa jf kunakiwanja kinauzwa mbezi beach upande wa samaki kwa juu kidogo 35×25 kwa iliye serious 0714787795 pia pm namba yako kama utahitaji picha umeme na maji mpaka mlangoni mwenye kiwanja yupo hapo hapo.
Shark namba hiyo piga hapo hata sijaweka cha juu coz mteja anatoa 10% kama akinunua so hakuna haja ya kuweka cha juu bei ni mil 35 tu.
Kweli wewe sio mteja unauliza maji na umeme mbezi beach na hata kwenye post yangu nimeandika
Sio mbali sana na barabara kuu