mfetere
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 246
- 88
Habari wana Jf kuna jirani yangu Mbezi beach upande wa Kushoto kama unaenda Tegeta na eneo liko tambalare amekata eneo lake kipande cha square meter 840 muuzaji nae yuko hapo hapo eneo lote lina hati miliki halali kwa muhitaji serious njoo inbox au piga simu 0714787795 kwa maswali zaidi piga cm na picha