Janja PORI
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 825
- 247
Wakuu nimepata kiwanja Mapinga pale kibaoni kwa chini ka 2 km from lami ... manaonaje maeneo hayo wataalamu square m 2000
Wakuu nimepata kiwanja Mapinga pale kibaoni kwa chini ka 2 km from lami ... manaonaje maeneo hayo wataalamu square m 2000
Mm hixi square mita zinanishindaga hiyo ni robo heka au nudu heka? Imeuziwa kiasi gani maana nami nahitaji maeneo hayo
Chukua hicho Kiwanja Mkuu hata usijifikirie Mara 2! Hiyo distance wala isikisumbue sana! Kiwanja kizuri hicho! Bei Ikoje?