Kiwanja.magomen kwa 2Mil.

Kiwanja.magomen kwa 2Mil.

Manka R

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
238
Reaction score
29
Kipo fundikira ukubwa hatua 24 kwa 10.. Piga 0716154531
 
Kiwanja au barabara? 24 kwa 10???!!
 
Aliyeserious awasiliane kwa hiyo namba aunganishwe na mwenye nacho utaonyeshwa ukiridhika/ usiporidhika kununua fine.. Aliyepima hizo hatua mtu mzima makamo ya JK
 
Hakika hiyo sio magomeni fundikira eti, 2mil only hata Kiwangu sio bei hiyo
 
Hakika hiyo sio magomeni fundikira eti, 2mil only hata Kiwangu sio bei hiyo
Hachieni wenzenu walioserious, kipo bonden kidogo ila hata inyesheje maji hayafiki pia ni kidogo cha kujenga kama room 3 au 4 itategemea na ukubwa wa room
 
Mtakapoandikishana hivyo vyote lazima mkabidhiane tena nadhani mnapelekana hadi kwa wajumbe/ na S/ mtaa na mashahidi pande zote mbili

Umeulizwa Hati unasema mjumbe,mjumbe anafanya kazi wizara ya Ardhi? Next tym ukija hapa jipange na maelezo ya kutosha -:
1.kiko wapi
2. Ukubwa wa eneo
3. Ufikaji wake
4. Bei
5. Upatikanaji wa mahitaji muhimu
Nk
Unaposema kioki bondeni kdg na mvua ikinyesha maji hayafiki je nikitoka kupanda huko juu nafukaje?
Jipange tuweze kukuelewa na sio jazba, hutaki peleka kule fb.
 
Hahahaaaaa!! Akyananii!! Watu humu ndani mnavituko balaa..

Mpendasifa: hicho kipimo cha andunje au tall?

MankaR :Aliyepima hizo hatua mtu mzima makamo ya JK
 
Kuna yadi mita 80x90 industrial area mbagala bil 1.6 kwa wanaohitaji
 
Hachieni wenzenu walioserious, kipo bonden kidogo ila hata inyesheje maji hayafiki pia ni kidogo cha kujenga kama room 3 au 4 itategemea na ukubwa wa room

Panafaa kuweka Bar?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom