Mkuu viwanja vya bagamoyo havina title D I mean havijapimwa BT vipo mfumo wa squatter na ofa zake zimechangamkaKiwanja maeneo ya mjini Bagamoyo kinatafutwa. Ukubwa kwenye 1000 sqm Na kundelea.
Nitashukuru kupokea various options zilizopo.
Ahsante.