Plot4Sale Kiwanja Kizuri kwenye Mtaa tulivu

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Jan 29, 2013
1,287
483
*Kiwanja Kizuri Ajabu*

Hallo.
Kwa anayehitaji kiwanja kizuri sana. Kwenye barabara kubwa ya Mtaa, huitaji hata nguzo ya umeme. Kiwanja kina nguzo tatu za umeme kwenye kona zote tatu. Zoezi/Utaratibu wa Urasimishaji unaendelea sahv. Huduma zote muhimu kama vile Makanisa/Misikiti/Shule za English Medium/Madrassa/Hosp/Umeme/Maji/usafiri wa uhakika kutoka na kuingia mjini, pia mandhari tulivu.

*NB: kituo cha basi ni CHANIKA KWA DADDY, BAADA YA TALIANI. Mita mia mbili toka barabara ya Lami*
Ni kizuri kwa Plan ya Makazi binafsi/biashara au Nyumba za kupangisha,

Ukubwa wa kiwanja ni (25mita kwa 40mita). Square mita 1000.

Wasiliana na:
0659 110 408, 0687 119412

In the near future, you will be able to construct a condominium like this below.
69B79073-FC38-4B30-A03D-BB4372D7943E-4400-000000DC0633D0A7.jpeg
 
KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI KARIBU NA CHANGANI BEACH, UKUBWA WAKE NI SQM 930,KIMEPIMWA NA KINA HATI MILIKI KUTOKA WIZARA YA ARDHI,BEI YAKE NI MIL 9
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom