Doppelganger
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,858
- 759
Ukubwa nii skwea mita 2218.
Lipo Kitunda Kati,karibu na barabara ya lami,kituo cha mabasi-Masaai umbali wa mita 100 kufika kwenye eneo.
Eneo linafaa kwa makazi au biashara au shughuli nyingine.
Umeme, maji na njia za kuingia na kutoka bila shida.
Lina leseni halali ya umiliki iliyolipiwa hadi 2013.
BEI: Milioni themanini (80 millions)
HAKUNA DALALI