kiwanja kizuri kinauzwa

emkey

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
728
136
kipo mwananyamala karibu na baa ya roya, ukubwa ni 80 kwa 60, kipo mita mbili toka barabarani, umeme na maji vipo kama mita moja na nusu, kuna banda moja watu wanaishi, bei milioni 90. Dalali hatakiwi. Piga 0714-408238.
 
Kiwanja kipo mita mbili toka kwenye barabara!.,buy it on your own risk maana Magufuli akitaka tu kupanua barabara ujue umeliwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom