Kiwanja kizuri kinauzwa kipo Madale

Chambuso2017

Member
Feb 14, 2017
50
22
Kipo Madale Flamingo barabara inayokwenda Kwetu Sekondari, ni eneo lililopimwa kwa makazi ya watu. Hakijakatiwa hati bado, Kina ukubwa wa hatua 25x30. Kinafikika kirahisi kwa gari na umeme umefika. Bei Tsh 6.5M. Kwa maelezo zaidi nicheki PM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom