Kiwanja kizuri kinauzwa bei nzuri sana

gamaliely

Member
Jan 29, 2011
8
3
Kiwanja kinauzwa ukubwa ni nusu eka kinafaa kwa biashara na makazi kipo mbezi mwisho mita 300 kutoka morogoro Rd karibu na stand mpya ya daradara upande wa kulia kama unaenda kibaha, karibu na itakapokuwa stand ya mkoa baada ya kuhama kutoka ubungo kuja hapa mbezi ambayo imeanza kujengwa nipigie simu no. 0754 568 593 au 0655 568 593
 
Mkuu bei sio siri weka bei ubaoni watu wajipime kama wakupigie au waishie kusoma tangazo tu
 
Kiwanja kinauzwa ukubwa ni nusu eka kinafaa kwa biashara na makazi kipo mbezi mwisho mita 300 kutoka morogoro Rd karibu na stand mpya ya daradara upande wa kulia kama unaenda kibaha, karibu na itakapokuwa stand ya mkoa baada ya kuhama kutoka ubungo kuja hapa mbezi ambayo imeanza kujengwa nipigie simu no. 0754 568 593 au 0655 568 593

Weka bei ....!

Sent from my iPhone 5c using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom