Kiwanja kizuri Goba 1200Mita za Mraba

Kule watu wanaenda kwa canter, barabara mbovu kama haijawahi pita gari, huko ndio kiwanja ml 24.
Afu na matusi yako kabisa unategemea mtu anunue. Sahau mkuu
 
Duh!!!

Maeneo hayo viwanja sio gharama hivyo hebu acha kupiga watu wewe...

Kwa ukubwa huo kwa maeneo hayo kiwanja huwa ni kati ya 10mil hadi 12mil...
 
PU.MBA.VU. humu vitoto ndiyo vinejaa vikishashiba ugari wa foleni vinakimbilia jf kuleta utombo wao. Hakuna serious buyer humu watoto ndiyo wamejaa.
 
Duh!!!

Maeneo hayo viwanja sio gharama hivyo hebu acha kupiga watu wewe...

Kwa ukubwa huo kwa maeneo hayo kiwanja huwa ni kati ya 10mil hadi 12mil...

Mtu mwenyewe unasubiria chakula cha kengele, hizo bei utazijulia wapi bwi.ga ww
 
Kule watu wanaenda kwa canter, barabara mbovu kama haijawahi pita gari, huko ndio kiwanja ml 24.
Afu na matusi yako kabisa unategemea mtu anunue. Sahau mkuu

Ahahahaha...hii biashara zijaanza leo
 
Napita tuu.but i undermine you dalali,kwa kosa moja tuu.kubishana na kutukanana wateja.i advice you,next time ukishapost, serious buyers wata ku pm na kukucheki kwenye your number.acha kubishana na wateja. Better preserve your comments.
Its just an advice unaweza chukua au kukataa.
 
muuzaji unapotukana wanunuzi.......
hata kama mnunuzi amekukera.....jaribu kutumia lugha ya staha......
 
Mtu mwenyewe unasubiria chakula cha kengele, hizo bei utazijulia wapi bwi.ga ww

Naona umeamua kufanya udalali wa matusi pia...

Naona hujui kuwa hao wanaokula kwa kengele wanaweza pia kuwashawishi wawalishao kwa kengele kuja kutazama biashara yako...
 
Hahaha,kazi kweli
Mwisho wa siku watu wanauza matusi sasa badala ya kiwanja.

Maana hata kama mtu asiejua anataka kununua anavuta picha ya muuzaji wa kati na maneno yake,then anasepa.
 
PU.MBA.VU. humu vitoto ndiyo vinejaa vikishashiba ugari wa foleni vinakimbilia jf kuleta utombo wao. Hakuna serious buyer humu watoto ndiyo wamejaa.

Duuuh rudi shule.. Kuna MEMKWA
 
Nlikua natafuta plot iyo maeneo lakini bora mdo mdo uyu ni kwere
 
PU.MBA.VU. humu vitoto ndiyo vinejaa vikishashiba ugari wa foleni vinakimbilia jf kuleta utombo wao. Hakuna serious buyer humu watoto ndiyo wamejaa.

Division 5 ya mulugo katika ubora wake.... By the way, ukiambiwa rudi shule unakuwa mkali! Watu wazima huwa hatutukani matusi hovyo kama wewe unavyofanya! Any way ukikua utaacha siwezi kukulaumu sana umri wako unakuruhusu kufikiri kwa kutumia masaburi.....
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…