Kiwanja kiwanja kiwanja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja kiwanja kiwanja

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Jack Beur, Mar 1, 2012.

 1. J

  Jack Beur JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 26, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Wadau ninauza kiwanja( siyo dalali),kipo Pugu Buyuni,sqr meter 968,bei mil 15.Serious buyer Piga 0779000304
   
 2. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu huko ni mbali sana, kiwanja ni kidogo na bei ni kubwa sana
   
 3. S

  SWEET GIRL JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 60
  yan sasa hivi hizi bei za viwanja sijui kama watu wa kipato cha kwaida tutaweza.kila ukigusa bei juu
   
 4. undugukazi

  undugukazi JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  ni ujinga utauzaje bei ka hiyo kiwanja kipo kushoto hivyo hata kwenda stand ya basi za mikoani ni ishu afu mbaya zaidi sqr mita kama chumba kimoja
   
 5. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,641
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  Hauzi huyo!
   
 6. gmosha48

  gmosha48 JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,960
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Anauza lakini hataki kinunuliwe!
   
 7. G

  GHANI JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 685
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Thamani yake ni 7 mil tuondolee upuuzi hapa wataka kutajirika bila jasho.
   
 8. next

  next JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 601
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  jaman muwe mnnafanya na ka-utafiti kidogo kabla ya kukurupuka,
  tukichukua bei ya sq m ya kiwanja kilichopimwa na kuuzwa na manispaa pale kinyelez, ni tzs 10,000 kwa sqm. chako ingekuwa ni tzs 9,680,000, hapo una hati, ushachongewa na barabara na upo just 18 km from down town
   
Loading...