Kiwanja kisichopimwa kinauzwa kigambon.

Kiwanja kisichopimwa kinauzwa kigambon.

yaser

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
1,361
Reaction score
299
Nauza kiwanja changu ambacho hakijapimwa maeneo ya kigambon mwembe mdogo jiran kabisa na magorofa mapya ya NSSF. Kiwanja ni nusu heka kiko barabarani kabisa. Kama utakua interested wasiliana na mm through 0713 806 766. nawasilisha.
 
kwan ukiweka bei shida iwap
 
kwan ukiweka bei shida iwap
nimeweka namba hapo kaka kama unakuwa interested unanichek tu, watu kibao wameshaanza kunichek na hawajahoji kwann sijaweka bei...kunichek unaonesha jinsi gan uko interested.
 
Weka bei kwa faida ya sisi tusio na salio kwenye simu basi.

Halafu wengine unakuta wanamaagizo ya kuwatafutia ndugu zao viwanja kwa hiyo ukiweka bei itawasaidia kutoa maelezo na pengine ukapunguza wingi wa unnecessary calls.
 
Madalali mna tabu sana,
hapo ushapiga cha juu kikubwa tu Sema hutaki mwenye kiwanja ajue!!

Kama unajiamnini si uweke bei?
 
nimeweka namba hapo kaka kama unakuwa interested unanichek tu, watu kibao wameshaanza kunichek na hawajahoji kwann sijaweka bei...kunichek unaonesha jinsi gan uko interested.

Mkuu uungwana wa JF ni kila kitu kinawekwa wazi barazani ndipo mnaanza kujadiliana chumbani kwa yule aliyetayari. Hebu jaribu kupitia mabandiko ya wadau wengine uone yananvyokuwa. Kama lengo lako ni watu wajue bei kwa kukupigia simu basi nadhani umekosea, JF si mahala pake.
 
Weka bei kwa faida ya sisi tusio na salio kwenye simu basi.

Halafu wengine unakuta wanamaagizo ya kuwatafutia ndugu zao viwanja kwa hiyo ukiweka bei itawasaidia kutoa maelezo na pengine ukapunguza wingi wa unnecessary calls.
kama unahisi mi ni dalali kaa usubiri ndege bandarini......nmeweka namba hata kama umetumwa na ndugu yko umtafutie kiwanja mpe hyo namba...hatuweki bei kuogopa wasumbufu kama nyie mnaojisikia kuongea chochote JF. so kma ni mnunuzi utapiga au kutext kujua mambo yanavyoenda.
 
Ila ndugu bei inamvuta hata mtu aliekua hana mpango wa kununua kitu akanunua.. so uwaz wa bei unakuongezea soko ndugu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom