Kiwanja kipo mbagala kina hati

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Nov 21, 2015
3,079
2,152
Eneo:CHAMAZI KWA MKONGO BLOCK A
Bei: milion 53
Ukubwa:smq1830(61x30)

location: KITUO TRANSFORMER KARIBU NA SHULE YA MISSION MKOMBOZI, AU KWA KOVA. NI kabla hujafika AZAM COMPLEX
KUTOKA STAND BARA BARA YA RAMI NI KM1.
NI SURVEYED AREA KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA HATI , UKIFIKA STAND KWA MKONGO UNAKATA KULIA,. Unakua umefika KIWANJA kilipo Umeme jirani upo Na banda hilo juu na shimo la choo

Service charge 10,000
For more details
call/sms/wtsp:
+255718295182/+255625480963
+255753254562/+255683860978

Nitumie tangazo la nyumba, viwanja ,mashamba, magari N.k. Nitatangaza Bure

wtsp:+255 718295182
Email:bangojeupe@gmail.com
c647be70896c448f2c0846f62a658c21.jpg
 
Kweli we bango jeupe! Eti Kiwanja kipo mbagala kina hati...So? Hata kimara kipo vilevile,,,,sijajua we ni Dalali au kichaa, maana una report uwepo wa Viwanja, kesho utasema ..Watu wapo kariakoo...pambaf sana
 
Usinitukane basi! So Ulitaka iweje chief?
 
Kweli we bango jeupe! Eti Kiwanja kipo mbagala kina hati...So? Hata kimara kipo vilevile,,,,sijajua we ni Dalali au kichaa, maana una report uwepo wa Viwanja, kesho utasema ..Watu wapo kariakoo...pambaf sana

mi sijakuelewa ulitaka kusema nini hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom