Kiwanja kinauzwa

Kiwanja kinauzwa

EXPULSION

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2015
Posts
407
Reaction score
303
Heshima zenu wana jukwaa,

Nauza kiwanja maeneo ya chanika, kia msingi mzuri tayari wa vyumba vitatu, sebule, jiko,sehemu ya kula, master

Aliyetayari anipm, tuwasilane vizuri, bado sijapata mteja, mana hii ni mara ya pili naleta hapa

Nawasilisha
 
kuna kingine hapa mbezi Msakuzi, 20x30 kipo kwenye kona ya mtaa, yaani kinafikiwa na barabara 2 (at T junction) umeme umeshafika, 6mil tu sina makuu. if you are a serious buyer you can PM me.
 
kuna kingine hapa mbezi Msakuzi, 20x30 kipo kwenye kona ya mtaa, yaani kinafikiwa na barabara 2 (at T junction) umeme umeshafika, 6mil tu sina makuu. if you are a serious buyer you can PM me.

hivyo vipimo ni mita au ft? je kimepimwa?
 
kiwanja hakijapimwa na serikali, muuzaji alikuwa na eneo kubwa akalitengezea ramani kwa kushirikiana na kijiji na kukata viwanja zaidi ya 100. vipimo hapo ni hatua za mtu mzima (miguu). moreorless the same as mita.
 
kuna kingine hapa mbezi Msakuzi, 20x30 kipo kwenye kona ya mtaa, yaani kinafikiwa na barabara 2 (at T junction) umeme umeshafika, 6mil tu sina makuu. if you are a serious buyer you can PM me.

Msakuzi ipi Mkuu..maana zipo mbili..
 
[QUOT E=Gogo la choo;12711776]Msakuzi ipi Mkuu..maana zipo mbili..[/QUOTE]msakuzi ni kubwa ipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom