M Magezi JF-Expert Member Joined Oct 26, 2008 Posts 3,359 Reaction score 704 Jan 6, 2015 #1 Wakuu nauza kiwanja 600 seq. meter. Kiko Tuangoma kama unaelekea kigamboni na kina hati yake. Anayekihitaji ani PM
Wakuu nauza kiwanja 600 seq. meter. Kiko Tuangoma kama unaelekea kigamboni na kina hati yake. Anayekihitaji ani PM
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,977 Reaction score 30,163 Jan 6, 2015 #2 Magezi said: Wakuu nauza kiwanja 600 cubic meter. Kiko Tuangoma kama unaelekea kigamboni na kina hati yake. Anayekihitaji ani PM Click to expand... Cubic Meter kivipi? Kwamba kinaelekea na Juu?
Magezi said: Wakuu nauza kiwanja 600 cubic meter. Kiko Tuangoma kama unaelekea kigamboni na kina hati yake. Anayekihitaji ani PM Click to expand... Cubic Meter kivipi? Kwamba kinaelekea na Juu?
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Jan 6, 2015 #3 Aisee...
I immaJ Member Joined Jan 29, 2013 Posts 34 Reaction score 9 Jan 6, 2015 #4 Mh, hii ya cubic meter imekaaje?
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 55,098 Reaction score 129,111 Jan 6, 2015 #5 Rekebisha hapo kwenye cubic meters. Ni 600 sq.m. Cubic meter ni m*m*m ambayo ni volume na si area. Haya badilisha then ongea bei...!
Rekebisha hapo kwenye cubic meters. Ni 600 sq.m. Cubic meter ni m*m*m ambayo ni volume na si area. Haya badilisha then ongea bei...!
Mlaleo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 16,379 Reaction score 13,193 Jan 6, 2015 #7 Nakupa Offer ya Laki tatu... Weka Picha basi