Nilikuwa offline kidogo, nilirudi nimeona vijana mmejadili hili dili kwa upana sana, Thanks all of u!!!. Hicho kiwanja hakina hata mti wa kung'oa, nimeshakilima majani mara mbili, Ki-ukweli hutaweza kujutia kukipata. Kupimwa kuna maana kuweka plan ya barabra na huduma nyingine muhimu sehemu. HIVYO SIYO SKWATA HATA CHEMBE.