J Jikombe JF-Expert Member Joined May 13, 2010 Posts 774 Reaction score 783 Jan 26, 2014 #1 Kiwanja kinauzwa kiko mbweni Malindi. Kina Hati na ukubwa wa eneo ni 1844sqm.Ni Dar. Bei ni 150m
K Kagalala JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 2,403 Reaction score 1,134 Jan 26, 2014 #2 Jikombe said: Kiwanja kinauzwa kilo mbweni Malindi. Kina Hati na ukubwa wa eneo ni 1844sqm. Click to expand... Mkuu hebu Nipe details zaidi Kidogo. Mbweni malindi hiko sehemu gani kutokea Mbweni Ubungo am mpiji? Ni PM tuweze kuwasiliana
Jikombe said: Kiwanja kinauzwa kilo mbweni Malindi. Kina Hati na ukubwa wa eneo ni 1844sqm. Click to expand... Mkuu hebu Nipe details zaidi Kidogo. Mbweni malindi hiko sehemu gani kutokea Mbweni Ubungo am mpiji? Ni PM tuweze kuwasiliana
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,984 Reaction score 30,178 Jan 26, 2014 #3 Kagalala said: Mkuu hebu Nipe details zaidi Kidogo. Mbweni malindi hiko sehemu gani kutokea Mbweni Ubungo am mpiji? Ni PM tuweze kuwasiliana Click to expand... Malindi?? Itakua Zanzibar tu hiyo! !
Kagalala said: Mkuu hebu Nipe details zaidi Kidogo. Mbweni malindi hiko sehemu gani kutokea Mbweni Ubungo am mpiji? Ni PM tuweze kuwasiliana Click to expand... Malindi?? Itakua Zanzibar tu hiyo! !