Kiwanja kinauzwa

josephangetile

Senior Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
101
Reaction score
20
kiwanja kinauzwa kipo kongowe - kilungule
bei ni nafuu sana.
VIPIMO VYAKE NI HIVI HAPA:-

MASHARIKI - futi 89
MAGHARIBI - futi 77
KASKAZINI - futi 62
KUSINI -futi 8
NI KIKUBWA SANA

KWA MAWASILIANO NAOMBA UNITUMIE PRIVATE MESEJI ZENI NITAKUPA CONTACT ZANGU ZOTE ZA SIMU AU
TUMIA EMAIL HII HAPA CHINI :- josephangetile@yahoo.com
 
Hivyo vipimo ni sentimita, futi, mita au ni miguu?
 
[h=2]
Re: Kiwanaja kinauzwa[/h]

Kiwanaja ndio kitu gani?
 
Hivyo vipimo ni sentimita, futi, mita au ni miguu?


dah!! swali zuri kaka ipo hivi

hizo nilizoweka hapo ni futi na ukizionganisha unapata kiwanja kikubwa sana na ni vizuri ukienda kukiona mwenyewe ili ujilizishe siwezi nikasema ni heka ngapi
 
Weka Picha,

Oops Sorry, I meant Weka Bei!!
 

Shusha bei mil 2 bei kubwa,kiwanja chenyewe kina Futi 8 kusini wakati shimo la choo futi 12.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…