stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,853 Reaction score 27,454 Feb 28, 2013 #1 Kiwanja chenye ukubwa wa 20x25 kinauzwa 6Mil. Kibamba CCM,kina msingi na umbali kutoka Barabara ya Morogoro ni 2.5Km,njia ya gari inafika mpaka kwenye kiwanja kwa anayehitaji ani-PM,ni cha kwangu hakuna dalali.
Kiwanja chenye ukubwa wa 20x25 kinauzwa 6Mil. Kibamba CCM,kina msingi na umbali kutoka Barabara ya Morogoro ni 2.5Km,njia ya gari inafika mpaka kwenye kiwanja kwa anayehitaji ani-PM,ni cha kwangu hakuna dalali.
CHAI CHUNGU JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 7,113 Reaction score 946 Feb 28, 2013 #2 Naona mfumo wa ki digital umekuacha sana,pole mkuu napita!
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,853 Reaction score 27,454 Feb 28, 2013 Thread starter #4 Poxino said: Bei weka Click to expand... Bei ni Mil.6 Tsh.kina msingi uliojengwa mpaka level ya kuweka mkanda.
Poxino said: Bei weka Click to expand... Bei ni Mil.6 Tsh.kina msingi uliojengwa mpaka level ya kuweka mkanda.
U ureni JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 1,261 Reaction score 530 Mar 5, 2013 #5 stephot said: Bei ni Mil.6 Tsh.kina msingi uliojengwa mpaka level ya kuweka mkanda. Click to expand... Msingi wa rum ngapi?
stephot said: Bei ni Mil.6 Tsh.kina msingi uliojengwa mpaka level ya kuweka mkanda. Click to expand... Msingi wa rum ngapi?