Kipo ubungo riverside eneo la makoka, kipo karibu na barabara kubwa na kimejengwa mabanda mawili ya wapangaji yenye vyumba viwili viwili,,kinafaa pia kujenga flemu za biashara.
Mwenye uhitaji DM tafadhari kwa maelekezo zaidi
Anataka twende DM tukaulize kiwanja kina ukubwa gani, hayo mabanda yana hali gani, na kama ameyapangisha analipwa bei gani, bei nayo tumfuate DM na picha za eneo nazo anataka tumfuate DMπππππ. Lakini cha ajabu yeye tangazo lake hajatutumia DM