Kiwanja kinauzwa

Kiwanja kinauzwa

Barikiel

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2014
Posts
404
Reaction score
408
Kipo kiwanja kinauzwa kipo Kapri ponti Mwanza jirani sana na Tilapia Hotel bei maelewano. Kwa wale matajiri wa mwanza wanao hitaji kuwekeza fursa kwenu. Kina msingi wa Gorofa tofali kadhaa kokoto tripu 30. Mwenye kuhitaji ani P M.
IMG_20181030_124135.jpeg
 
Acha nichukue hiki Kiwanja niwe nasali jumuiya na Genji kila jmosi
 
Bei kubwa sana nina mil 28 mkuu kama inalipa niPM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom