F frates Member May 13, 2016 5 0 May 19, 2016 #1 Ukubwa: square meter 602 kilipo: Mbweni JKT karibu na Baharini Bei: maelewano mawasiliano: 0754570615 au 0715570615
Ukubwa: square meter 602 kilipo: Mbweni JKT karibu na Baharini Bei: maelewano mawasiliano: 0754570615 au 0715570615
TO2004 JF-Expert Member Jan 11, 2013 540 219 May 19, 2016 #2 Sijajua kwanini watu wengi humu jf wanapenda kuficha bei za bidhaa wanazouza.
Kambaku JF-Expert Member Nov 12, 2011 8,188 30,842 May 19, 2016 #3 Ukiona hivyo hawajiamini wanataka kukupiga
TO2004 JF-Expert Member Jan 11, 2013 540 219 May 20, 2016 #4 Kambaku said: Ukiona hivyo hawajiamini wanataka kukupiga Click to expand... Wengi wao huwa ni madalali anaona akitaja bei watu watamsema kwamba bei ya uongo ndo maana anataka apige juu kwa juu
Kambaku said: Ukiona hivyo hawajiamini wanataka kukupiga Click to expand... Wengi wao huwa ni madalali anaona akitaja bei watu watamsema kwamba bei ya uongo ndo maana anataka apige juu kwa juu
BelindaJacob Platinum Member Nov 24, 2008 6,474 4,037 May 21, 2016 #5 Mkuu frates ni bei gani hicho kiwanja? inasaidia kufahamu bei ili kuweka maelewano vizuri.