Kiwanja kinauzwa, kipo Igoma - Mwanza city, (Mbugani) nyuma ya St. Mary's school. Kilipo tayari kuna watu wengi ambao wameishajenga maeneo hayo. Ni umbari wa kama mita 120 kutoka barabara ya Nyerere (Mwanza to Musoma). Kwa yeyote anayehitaji tuwasiliane kwa simu namba 0754-533543.
Wote mnakaribishwa,