Kiwanja kinauzwa Vikindu

Kiwanja kinauzwa Vikindu

Migomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2013
Posts
945
Reaction score
1,339
Kiwanja kinauzwa Vikindu maeneo Jirani na chuo kikuu kipya (St. Augustine) ni 20x20 m² bei 3m. Wahi fursa hii kabla chuo hakijafunguliwa.
 
Vipi ni upande wa Chuo cha Ualimu Vikindu ama ni upande ule wa pili na je kutoka barabarani mpaka kwenye kiwanja ni umbali gani?
 
Ni sehemu gani ya vikindu na hicho chuo kipo umbali gani kutoka kwenye hicho kiwanja

Maeneo ya pale mission hospital kama km 2 kutoka kilwa road na kutoka chuo na Kiwanja ni kama mita 500
 
Vipi ni upande wa Chuo cha Ualimu Vikindu ama ni upande ule wa pili na je kutoka barabarani mpaka kwenye kiwanja ni umbali gani?

Ni huu upande wa pili, kutoka kilwa road kama km1.5 au 2
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom