Kiwanja kinauzwa Vikindu barabarani

baraka wanna

Member
Sep 8, 2014
25
1
Kiwanja kipo Vikindu Mkuranga karibu na barabara kuu umeme umefika eneo hilo, kina ukubwa wa futi 60 urefu-50 upana kuna barabara ya Gari inayofika mpaka kwenye Kiwanja. bei million 4 maongezi yapo 0713-377167/0756-377167.
 
Vikindu 60x50 = 4 million ama kweli shilingi imeshuka thamani.

Kila la heri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom