kiwanja kipo maeneo ya ubungo kibangu karibu na kwa novo
size ya kiwanja ni nusu heka
bei ya kiwanja ni milion 35
kiwanja kina hati moja ivyo unakatiwa nusu heka hlf hati inafuatiliwa ya kwako tu
Mmmh aiseee mkuu ndiyo umeleta huku, naona kanisa hapo,banda la Sharafani......hapo mchawi bei tu,niliwahi kufanya attempt mara 2 maana nisehemu ninayoijua vizuri, Punguzeni bei hali mbaya mtaani, 15m to 20m sawa,kwa hiyo labda na huo ukuta usogee ndani kidogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.