Kiwanja kinauzwa Tegeta A. Square meter 400. Bei ni shs 15m. Kuna matofali mengi tu kama bonasi. PM au email tajirika@gmail.com. Mhusika mimi kwa hiyo hakuna udalali.
Pamesafishwa sasa pasafi sana. No ya simu ni+255787851735.Iko kiwanja kiko wapi mbona naona kama msitu
Nipe terms zako. Changamkia tenda.Mkuu mimi ni dalali nipe kazi nikuuzie fasta