Kiwanja kinauzwa Pugu kigogo fresh

Zgerald95

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
235
59
Habari ya muda huu wakuu!

Kiwanja kinauzwa pugu kigogo fresh milioni nane tu mita 14 kwa 32..

Kwa mawasiliano zaid piga namba zifuatazo 0763 805 405.. Tufanye biashara... Maongezi yanaruhusiwa ila tu u serious unahitajika
 
Miguu 20 X 20 Chanika Mjini(Vodete)
Karibu na Barabara.
1.7Km toka Pale Chanika Stand
0.6km toka Barabara ya Lami.

Bei: 5.5M

Umeme Maji Papo hapo.

Pamejengeka Sana.

0715-240140
 
Nenda majohe kona ya kosovo frem inapangishwa. ...mwaka tu utapata hela ya kununua kiwanja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom