ndechilio shoo
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 997
- 366
Nina viwanja viwili kwa hio nauza kimoja kipo Pugu Kajiungeni, umbali wa kiwanja na barabara kuu ni kutembea dakika kumi. Mita 20 kwa 23 bei maelewano barabara ipo, umeme upo mpakani na kiwanja haina haja ya nguzo, anaehitaji ani PM.