kiwanja kinauzwa ostabay maeneo ya coco beach 450usd

kiwanja kinauzwa ostabay maeneo ya coco beach 450usd

MBUFYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
445
Reaction score
68
kiwanja hiki kina ukubwa wa 4000sqmetres. kina hati, anaye hitaji ani pm.
 
Is 4000 s m inclusive of the beach area? rember the 60m beach line exclusion according to the law!
 
wakuu hapo kuna makosa, nimekosea ni millions 450 za kimarekani call me 0715397770
 
hueleweki
dola milioni 450
au dola laki 4 na nusu?
picha hamna?
 
wakuu hapo kuna makosa, nimekosea ni millions 450 za kimarekani call me 0715397770

Hata hiyo bado umekosea, viwanja vya Tanzania havijafikia bei hiyo. Fanya homework yako vizuri.
 
huyu ni dalali tuu!naona amechanganyikiwa,manake hiyo bei haieleweki hata kidogo!mwambie mwenye data kamili awape wadau wapambane!
 
Nadhani alitaka kuandika US$ 4.5m,

Ambavyo mkapa alivigawa kwa bei ya kutupa, sijui mwenyewe na jamaa zake walijichukulia vingapi.
 
Aise, nilidhani USD 450 Kama ulivyotangaza kwenye heading, ningekufuata kokote unakopatikana.
 
Bil. 4.5 za kitanzania ni sawa na thamani ya kampuni ya precision air. Hizi bei za viwanja Tanzania zinakuwa set kwa kutumia formula gani?
 
Kwa bei hiyo nikishanunua najengewa au?
 
Viwanja vile viliuzwa kwa watumishi wa serikali kwa milioni za kitanzania 32. Na kwa sheria, mmiliki haruhusiwi kubadilisha jina kwenye hati au kukichukulia mkopo benki kwa muda wa miaka 25, ingawa wapo wengi wanaochakachua sheria hiyo; inawezekana huyo anayekiuza ni mtumishi aliyejichokea kimaisha, anaona isiwe tabu, akamate mamilioni yake akajenge nyumba yake kinyerezi au boko, na kuanzisha mradi wa kuku, boda boda n.k, ili mradi siku ziende. Vinginevyo kuna faida gani kuishi katika nyumba mbele ya ufukwe wa bahari, maeneo ya uzunguni, huku hauna hata senti tano mfukoni baada ya kustaafu ukurugenzi wa idara ya nyuki wizara ya maliasili au mkurugenzi wa ajira, wizara ya vijana?
 
Huu ni mwaka wa 3 toka nianze kujitegemea sijaweza kusave 2m ntaweza kununua 4.5bilion uwanja tu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom