atrickmagesa1 Member Joined Apr 14, 2016 Posts 17 Reaction score 4 Sep 17, 2019 #1 MWANZA Kiwanja kinauzwa nyegezi majengo mapya kilomita mmoja kutoka stendi kuu ya mabasi ya Nyegezi Kimepimwa na kina ukubwa wa mita za mraba 555 Bei yake ni 3 million Mazungumzo yanakaribishwa
MWANZA Kiwanja kinauzwa nyegezi majengo mapya kilomita mmoja kutoka stendi kuu ya mabasi ya Nyegezi Kimepimwa na kina ukubwa wa mita za mraba 555 Bei yake ni 3 million Mazungumzo yanakaribishwa
jdsk Senior Member Joined Apr 10, 2018 Posts 164 Reaction score 270 Sep 17, 2019 #2 atrickmagesa1 said: MWANZA Kiwanja kinauzwa nyegezi majengo mapya kilomita mmoja kutoka stendi kuu ya mabasi ya Nyegezi Kimepimwa na kina ukubwa wa mita za mraba 555 Bei yake ni 3 million Mazungumzo yanakaribishwa Click to expand... Ahsante mkuu kwa taarifa hiyo.
atrickmagesa1 said: MWANZA Kiwanja kinauzwa nyegezi majengo mapya kilomita mmoja kutoka stendi kuu ya mabasi ya Nyegezi Kimepimwa na kina ukubwa wa mita za mraba 555 Bei yake ni 3 million Mazungumzo yanakaribishwa Click to expand... Ahsante mkuu kwa taarifa hiyo.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 45,592 Reaction score 135,588 Sep 17, 2019 #3 Ungeweka na mawasiliano yako ya simu ili kuwavutia na wateja wengine ambao hawana uwezo wa kukufuata PM!
Ungeweka na mawasiliano yako ya simu ili kuwavutia na wateja wengine ambao hawana uwezo wa kukufuata PM!
atrickmagesa1 Member Joined Apr 14, 2016 Posts 17 Reaction score 4 Sep 17, 2019 Thread starter #4 Tate Mkuu said: Ungeweka na mawasiliano yako ya simu ili kuwavutia na wateja wengine ambao hawana uwezo wa kukufuata PM! Click to expand... Sawa mkuu nashughulikia hilo
Tate Mkuu said: Ungeweka na mawasiliano yako ya simu ili kuwavutia na wateja wengine ambao hawana uwezo wa kukufuata PM! Click to expand... Sawa mkuu nashughulikia hilo
atrickmagesa1 Member Joined Apr 14, 2016 Posts 17 Reaction score 4 Sep 17, 2019 Thread starter #5 atrickmagesa1 said: MWANZA Kiwanja kinauzwa nyegezi majengo mapya kilomita mmoja kutoka stendi kuu ya mabasi ya Nyegezi Kimepimwa na kina ukubwa wa mita za mraba 555 Bei yake ni 3 million Mazungumzo yanakaribishwa Click to expand... Kwa mawasiliano zaidi waweza nipata kwa namba 0762211774 au 0654589824
atrickmagesa1 said: MWANZA Kiwanja kinauzwa nyegezi majengo mapya kilomita mmoja kutoka stendi kuu ya mabasi ya Nyegezi Kimepimwa na kina ukubwa wa mita za mraba 555 Bei yake ni 3 million Mazungumzo yanakaribishwa Click to expand... Kwa mawasiliano zaidi waweza nipata kwa namba 0762211774 au 0654589824
Kichuguu Platinum Member Joined Oct 11, 2006 Posts 18,061 Reaction score 25,134 Jun 26, 2020 #6 atrickmagesa1 said: Kwa mawasiliano zaidi waweza nipata kwa namba 0762211774 au 0654589824 Click to expand... Unaweza kunipatia kilicho karibu na ziwa; saizi ya kuanzia nusu eka hadi eka moja.
atrickmagesa1 said: Kwa mawasiliano zaidi waweza nipata kwa namba 0762211774 au 0654589824 Click to expand... Unaweza kunipatia kilicho karibu na ziwa; saizi ya kuanzia nusu eka hadi eka moja.
K Kiny JF-Expert Member Joined Sep 3, 2012 Posts 289 Reaction score 57 Jun 27, 2020 #7 atrickmagesa1 said: MWANZA Kiwanja kinauzwa nyegezi majengo mapya kilomita mmoja kutoka stendi kuu ya mabasi ya Nyegezi Kimepimwa na kina ukubwa wa mita za mraba 555 Bei yake ni 3 million Mazungumzo yanakaribishwa Click to expand... Inawezekanaje hizo mita za mraba 555?
atrickmagesa1 said: MWANZA Kiwanja kinauzwa nyegezi majengo mapya kilomita mmoja kutoka stendi kuu ya mabasi ya Nyegezi Kimepimwa na kina ukubwa wa mita za mraba 555 Bei yake ni 3 million Mazungumzo yanakaribishwa Click to expand... Inawezekanaje hizo mita za mraba 555?