kiwanja kinauzwa MZUMBE Morogoro

kiwanja kinauzwa MZUMBE Morogoro

dgratius

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Posts
218
Reaction score
11
Kiwanja kinauzwa mzumbe nje ya chuo cha mzumbe kimeshajengwa nyumba usawa wa madirisha rum 4 na sitting rum na dining na kitchen na pia ina sehemu ya parking ya gar ...pia ni eneo zuri kwa ajili ya hostel
 
Ukubwa wa kiwanja na bei yake tafadhali!!
 
Urefu mita 25 upana mita 20 bei yake million 10
 
Punguza bei, eehh ndugu, nipunguzie kidogo.
 
Ndugu toa mawasiliano yako nikutafute tuelewane
 
Eneo limepimwa? Bei kubwa sana, Mzumbe ipo wilaya ya Mvomero, bei za Wilayani inakua kubwa hivyo!!!!
 
Eneo limepimwa mkuu..bei sio kubwa ukiangalia na eneo liliopo linauzwa na nyumba na pia eneo lipo sehemu nzuri kwaajili ya biashara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom