Kiwanja kinauzwa Mwanza

Kiwanja kinauzwa Mwanza

searcher

Member
Joined
Jun 30, 2014
Posts
36
Reaction score
5
Kiwanja kinauzwa Mwanza, kipo eneo la Malimbe (Nyegezi) njia kuelekea Sweya. Eneneo ni zuri kwa ajili ya makazi. Kwa anaye hitaji nitafute kwa 0769015725/0689346264
 
Kiwanja kinauzwa Mwanza, kipo eneo la Malimbe (Nyegezi) njia kuelekea Sweya. Eneneo ni zuri kwa ajili ya makazi. Kwa anaye hitaji nitafute kwa 0769015725/0689346264

Weka bei wewe
 
14,000,000 bei hyo hapo vipimo harisi kiwanja kesho napositi
 
Kesho si ndio jana? post basi vipimo.
 
inakera sana kuona tangazo ya kuuza kitu bila kuweka bei
 
charminglady hebu nenda kaangalie hicho kiwanja halafu utustue sisi wavuvi huku bana!.
 
Last edited by a moderator:
Kiwanja kinauzwa maeneo ya airport ilemela mwanza. Ukubwa sqm 266. Bei 2ml. 0753101293
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom