Kiwanja kinauzwa mwanza

GREAT VISIONAIRE

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
365
453
Kiwanja kipo bugogwa,wilaya ya ilemela. Kina ukubwa wa 60 kwa 50.kinauzwa tzs milioni moja na laki mbili. MMiliki ana shida na instalment inakubalika hadi mara tatu.
Kwa maulizo zaidi tumia namba 0765540059
 
Bugogwa ndio wapi? Kimepimwa?
 
Mkuu ingependeza ungeweka na picha. Kuna jamaa alisema ana kiwanja kumbe mawe tena yale makubwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom