Hiyo location nimeona Gate of Heaven Pre-Primary School jirani hapo.Pole sana mkuu. Eneo lipo katikati, linaunganishwa na barabara inayotoka Mbagala Rangi Tatu kupitia Chamazi na ile inayotokea Chanika mwisho kupitia Mvuti kurudi Chamazi hadi Mbagala
Google map direction is 7°01'17.9"S 39°08'20.1"E