-Mkabala na shule ya sekondari ya wasichana Msalato
-Karibu na uwanja ndege wa kimataifa Msalato
-Ukubwa: Sqm 947
- Kina msingi wa kozi mbili Nyumba ya vyum vutatu, dinning na sebule. Vyumba viwili vimeshinuliwa na kupauliwa.
-Mawasiliano
0753322359
Ndogo au nyingi mkuu?Yani ununue kiwanja cha sq 900 msalato kwa 22M hizo zitakuwa akili au matope.