Kiwanja Kinauzwa - Moshi Manispa

Kingamkono

Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
22
Reaction score
0
Kiwanja kinauzwa kipo pembezoni mwa Barabara kuu ya Moshi - Arusha, kinanyumba ambayo haijakamilika (ipo kwenye lenta) kinafaa kwa shughuli za biashara na makazi kwa mawasiliano piga 0783-740777 au 0712022399
 
Weka mambo hadharani, bei gani? Wengine huku madalali
 
moshi arusha road kwa moshi ni kuanzia let say kibosho road mpaka sango ... semani wapi hapo ... ukubwa, kina hati n.k
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…