Kiwanja kinauzwa Morogoro

Kiwanja kinauzwa Morogoro

miley

Member
Joined
Aug 2, 2013
Posts
87
Reaction score
14
Wananchi kiwanja kipo Moro eneo la kihonda, ukubwa wa mita sp 600, kina hati, huduma za jamii zipo. Barabara hadi pale. Bei 7mil kama una nia piga 0715500248, 0756171831
 
Kihonda kubwa mkuu, sehemu gan ya kihonda?
 
mita sp 600???? ulitaka kumaanisha 600sqm?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom