Kiwanja Kinauzwa Mbezi Beach | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja Kinauzwa Mbezi Beach

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Benzoic, Jun 25, 2012.

 1. Benzoic

  Benzoic JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 425
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  Kiwanja kinauzwa Mbezi Beach Makonde opposite na JK Nyerere International School
  1. 400 square meters
  2. Kina Title DID
  3. Kina meter ya DAWASCO
  4.DALALI HATAKIWI KABISA

  BEI MILIONI 100 HADI 85
  :focus:pIGA 0752 355 221, 0776 600 300

   
 2. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  400 sqm ni kidogo saaaana
   
 3. Loyal_Merchant

  Loyal_Merchant JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 589
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  mh.....!matangazo mengine, yani hapa inategemewa mtu aje ajiseme mimi nina milion 100.? au kinauzwa kwa mnada.? jaribu kuweka bei fixed. katika tangazo lako. Hata hili mil 85 ni kubwa sana kwa ukubwa wa kiwanja.By the way napita tuu.
   
Loading...