Kiwanja kinauzwa- makongo ya juu.

Kiwanja kinauzwa- makongo ya juu.

DAVIDSONM

New Member
Joined
Jun 27, 2011
Posts
2
Reaction score
0
Kiwanja kinauzwa kipo makongo ya juu.
ukubwa ni 23m (urefu) kwa 22.5m(upana).
Kipo barabarani, maji na umeme vilishafika toka 2004.
Ni low density area.Ni 18 -20 mins driving from Mwenge.

Piga simu no. 0656599822/0767044479.Kwa maelezo zaidi.

Thank you.


 
weka bei wewe!ukiweka bei uta attract watu wakupigie,na pia vitu kama umeme unafika hapo kilipo kiwanja?je barabara ipo?
 
Leta details kama jamaa alivyokwambia. Usipoteze muda hapa! Check matangazo mengine!
 
unaweza tumia airtime yako kupiga sim kumbe ana target mafisadi!milion 200!kabla ya simu tupe bei mwana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom