Kiwanja kinauzwa Majohe

Noriega Jr

Senior Member
Apr 12, 2014
168
59
Habari zenu bandugu,

Kiwanja kinauzwa Majohe Dar
Ukubwa ni 20x20 kipo eneo la Majohe kwa warioba ,hakina hati kipo kwenye Barabara ya mtaa ,bei ni millioni 7
Contact 0656539385
Hakuna dalali muhusika mwenyewe
 
Milioni 7? Acha tamaa wewe.

Goba, stendi pale kuna kiwanja 25 kwa 20 bei mil 4.5

Na kuna umeme.

Acheni bei za tamaa.

Hicho nunua tu mwenyewe.
 
Milioni 7? Acha tamaa wewe.

Goba, stendi pale kuna kiwanja 25 kwa 20 bei mil 4.5

Na kuna umeme.

Acheni bei za tamaa.

Hicho nunua tu mwenyewe.

Sijui umri wako ni miaka mingapi,maana hata ungekuwa na miaka 13 tu ilitosha kuona ulichoandika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom