Kiwanja kinauzwa Mahenge, Morogoro

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
8,155
13,378
Habari zenu wakuu,

Kiwanja chenye ukubwa wa hekari moja chenye miembe na miti mingine kinauzwa njia ya kuelekea uponera,ni takribani 2KM kutoka bomani Mahenge.(makao makuu ya wilaya)

Eneo linafikika kwa gari hadi mlangoni,linafaa kwa ujenzi,kulima,kufuga nk

Maji ya mfereji yapo karibu sana halikadhalika maji ya bomba,pia umeme hauko mbali sana.

Eneo line view nzuri sana ya kuangalia mji wa Mahenge.

BEI:Milioni 2

Mawasiliano: 0752489529 au ni PM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom