Kiwanja kinauzwa Kipo maeneo ya Mafinga mjini - Pipeline - Majengo mapya.
Kina ukubwa wa nusu hekari 62 x 31 = 1922 sqm
Kimepakana na barabara, huduma ya maji na umeme ipo.
Kina msingi wa mawe ila ni wa zamani kidogo.
Kimepimwa na kina hati miliki.
Bei ni Tsh 20 Milioni. Maongezi yapo.
Muhitaji piga 0687022411