Kiwanja kinauzwa Mabwe Pande

Kiwanja kinauzwa Mabwe Pande

Enny

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
962
Reaction score
131
Kiwanja kinauzwa Mabwe pande kina michungwa, minazi mitatu. bei ni milioni 9 tu.

Hakina dalali, kama unahitaji tafadhari nipigie simu 0782555519.

Ahsante.
 
Wakati unalima unaweza kukutana na mafuvu na mifupa ya binadamu
 
si ndo huko walipomsulubisha dr stiv ulmboka
 
Siitaji labda mpm, ritz anaweza kukiitaji au zomba pia tume ya katiba....
 
Hicho kiwanja kikipata mteja Njoo nikupe hela nyingine kama hiyo utakayolipwa BURE!!
 
MP mbona kuko poa tu?
Cheki kwenye Google map watu watu wameuzunguka msitu wote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom