MWAKIGOBE Member Nov 1, 2010 65 2 May 19, 2011 #1 Kiwanja hiki kipo maeneo ya ubungo msewe karibu na chuo kikuu cha dar es salaam. Kina nyumba mbili ambazo bado hazijapauliwa, na eneo lina miti mizuri ya kivuli. Bei ni mil. 35 za kitanzania. 0719646407.
Kiwanja hiki kipo maeneo ya ubungo msewe karibu na chuo kikuu cha dar es salaam. Kina nyumba mbili ambazo bado hazijapauliwa, na eneo lina miti mizuri ya kivuli. Bei ni mil. 35 za kitanzania. 0719646407.
M mwalwisi Member Oct 6, 2010 45 22 May 20, 2011 #2 MWAKIGOBE said: Kiwanja hiki kipo maeneo ya ubungo msewe karibu na chuo kikuu cha dar es salaam. Kina nyumba mbili ambazo bado hazijapauliwa, na eneo lina miti mizuri ya kivuli. Bei ni mil. 35 za kitanzania. 0719646407. Click to expand... Kina ukubwa gani? kina hati?
MWAKIGOBE said: Kiwanja hiki kipo maeneo ya ubungo msewe karibu na chuo kikuu cha dar es salaam. Kina nyumba mbili ambazo bado hazijapauliwa, na eneo lina miti mizuri ya kivuli. Bei ni mil. 35 za kitanzania. 0719646407. Click to expand... Kina ukubwa gani? kina hati?
MWAKIGOBE Member Nov 1, 2010 65 2 May 20, 2011 Thread starter #3 hati zipo, ukubwa wake ni takribani hekari moja.