Kiwanja kinauzwa kitonga ukonga dar es salaam

Kiwanja kinauzwa kitonga ukonga dar es salaam

mama-m

New Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
3
Reaction score
0
Ninauza viwanja 6 vya ukubwa wa mita 20 x 20 bei 2,000,000/= kila kimoja. Viko sehemu moja namba yangu 0754571000 au 0784551259
ni maeneo ya kitonga ukitoka mbagala unapita chamazi msongola halafu kitonga. Unaweza kupitia barabara ya pugu chanika mvuti then kitonga. Ni kilometa 25 toka kariakoo. Kilometa 11 toka mbagala. Barabara inafika. Ni kilometa 2 toka barabara ya lami ya kutoka mbagala kwenda mvuti
 
mi nilifikiri kitonga mlimani nikutumie mkwanja sasa hivi.
nataka kufungua hoteli pale.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom