chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,876
- 29,645
Kama tangazo linavyojieleza hapo Juu,.
Kiwanja kina ukubwa wa Urefu futi 90 na Upana futi 88.
Kiwanja kinapatikana Santiago barabara ya kwenda mvuti, hakipo mbali kutoka barabara kuu ya kwenda mvuti,.
Kiwanja kinafikika kwa usafiri wa gari,
Kiwanja hakipo mbali na nguzo za umeme kwani ni nguzo moja tu inahitajika kuunganisha umeme,.
Kiwanja hakipo mbali na bomba la maji ya serikali,.
Kiwanja kipo karibu na vituo vya afya Msongola na Mbande,.
Ndani ya kiwanja tiyari kuna nyumba imeshajengwa na ina subule na vyumba viwili,.
Bei ya kuuzia ni Shilingi Milioni 15,.
Hati ya kiwanja inapatikana kwa uthibitisho,.
Mazungumzo yapo kwa aliye serious,.
Tuwasiliane kupitia PM.